Tunatoa askari waliobobea na wenye mafunzo ya kutumia silaha kwa usalama wa mali na maisha ya wateja wetu.
Askari wa kirungu waliopitia mafunzo ya kina hutoa ulinzi katika mazingira mbalimbali kwa weledi na nidhamu.
Tunafunga fensi za umeme kwa ajili ya kuimarisha ulinzi wa maeneo ya biashara, taasisi, na makazi binafsi.
Huduma ya ufungaji na matengenezo ya kamera za usalama (CCTV) za aina mbalimbali kwa ufuatiliaji wa karibu.
Tunatumia redio call kwa mawasiliano ya ndani ya timu yetu ya ulinzi, na pia tunauza na kutengeneza redio kwa wateja wetu.
Tunajaza na kufanya matengenezo ya vifaa vya kuzimia moto kwa ajili ya usalama dhidi ya majanga ya moto.